Tofauti kati ya marekesbisho "Eurasia"

Jump to navigation Jump to search
No change in size ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
Wataalamu wengi wa jiografia wanaana ya kwamba masi ya nchi kavu inayojumlisha Ulaya na Asia ina tabia zote za [[bara]] moja na hivyo hutumia jina la "Eurasia". Karibu eneo lote liko juu ya [[bamba la gandunia]] lilelile yaani [[Bamba la Ulaya-Asia]].
 
Tangu kale swali la mpaka kati ya Ulaya na Asia lilikuwa tata na kuna majibu mbalimbali. Wengu hukubaliana ya kwamba msatri unafuata [[milangobahari]] ya [[Dardaneli]] na [[Bosporus]] (nchini Uturuki), mwambao wa [[Bahari Nyeusi]] na [[Bahari Kaspi]] halafu safu ya milima ya [[Ural]] hadi [[Bahari Aktiki]]. lakiniLakini kati ya bahariBahari Nyeusi na kaspi katika eneo la [[Kaukasus]] mawazo hutofautiana sehemu gani ni ya Asia na zipi ya Ulaya.
 

Urambazaji