Fransis Bacon : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link GA|de}} using AWB (10903)
d rekebisha jamii
Mstari 48: Mstari 48:


[[Category:Waliozaliwa 1561]]
[[Category:Waliozaliwa 1561]]
[[Category:Waliozaliwa 1626]]
[[Category:Waliofariki 1626]]
[[Category:Wanasayansi wa Uingereza]]
[[Category:Wanasayansi wa Uingereza]]
[[Category:Wanasiasa wa Uingereza]]
[[Category:Wanasiasa wa Uingereza]]

Pitio la 12:36, 16 Desemba 2015

Francis Bacon alivyochorwa na Frans Pourbus (1617),Warsaw, Polandi.

Fransis Bacon (22 Januari 1561 - 9 Aprili 1626) alikuwa Mwingereza maarufu upande wa falsafa, siasa, sayansi, sheria, hotuba na uandishi.

Baada ya kushika nafasi muhimu serikalini[1], aliacha urithi wake hasa upande wa sayansi kama mtetezi na mtumiaji wa mbinu ya kisayansi wakati wa mapinduzi ya kisayansi akidai kila jambo lithibitishwe kwa majaribio.[2]

Alifariki kwa kichomi wakati wa kujaribu namna ya kutunza nyama kwa kutumia barafu.

Maandishi yake

Bacon, Sylva sylvarum

Kati ya yale muhimu zaidi kuna:

Tazama pia

  • Cestui que (Defense and Comment on Chudleigh's Case)

Tanbihi

  1. Birch, Thomas (1763). Letters, Speeches, Charges, Advices, &c of Lord Chancellor Bacon 6. London: Andrew Millar. ku. 271–2. OCLC 228676038. 
  2. "Home | Sweet Briar College". Psychology.sbc.edu. Iliwekwa mnamo 2013-10-21. 

Marejeo

Viungo vya nje