Fransis Bacon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Francis Bacon alivyochorwa na Frans Pourbus (1617),Warsaw, Polandi.

Fransis Bacon (22 Januari 1561 - 9 Aprili 1626) alikuwa Mwingereza maarufu upande wa falsafa, siasa, sayansi, sheria, hotuba na uandishi.

Baada ya kushika nafasi muhimu serikalini[1], aliacha urithi wake hasa upande wa sayansi kama mtetezi na mtumiaji wa mbinu ya kisayansi wakati wa mapinduzi ya kisayansi akidai kila jambo lithibitishwe kwa majaribio.[2]

Alifariki kwa kichomi wakati wa kujaribu namna ya kutunza nyama kwa kutumia barafu.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Bacon, Sylva sylvarum

Kati ya yale muhimu zaidi kuna:

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

  • Cestui que (Defense and Comment on Chudleigh's Case)

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Birch, Thomas (1763). Letters, Speeches, Charges, Advices, &c of Lord Chancellor Bacon 6. London: Andrew Millar. pp. 271–2. OCLC 228676038. 
  2. Home | Sweet Briar College. Psychology.sbc.edu. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-07-08. Iliwekwa mnamo 2013-10-21.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]