Vumatiti : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 14 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1238555 (translate me) |
Masahihisho |
||
Mstari 17: | Mstari 17: | ||
| spishi = Angalia katiba |
| spishi = Angalia katiba |
||
}} |
}} |
||
'''Vumatiti''' ni [[ndege]] wakubwa wa [[nusufamilia]] [[Botaurinae]] na [[Tigrisomatinae]] katika [[familia]] ya [[Ardeidae]] |
'''Vumatiti''' ni [[ndege]] wakubwa wa [[nusufamilia]] [[Botaurinae]] na [[Tigrisomatinae]] katika [[familia]] ya [[Ardeidae]] ambao wana domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko [[spishi]] nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula [[samaki]], [[amfibia]] na [[mdudu|wadudu]] wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga tago lao kwa matawi, [[nyasi|manyasi]] na [[mmea|mimea]] ingine katikati ya [[tete|matete]] au juu ya miti. Tago limefichika kwa kawaida. |
||
== Spishi za Afrika == |
== Spishi za Afrika == |
Pitio la 23:40, 8 Desemba 2015
Vumatiti | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Vumatiti ni ndege wakubwa wa nusufamilia Botaurinae na Tigrisomatinae katika familia ya Ardeidae ambao wana domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula samaki, amfibia na wadudu wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga tago lao kwa matawi, manyasi na mimea ingine katikati ya matete au juu ya miti. Tago limefichika kwa kawaida.
Spishi za Afrika
- Botaurus stellaris, Vumatiti Mkubwa (Eurasian au Great Bittern)
- Ixobrychus minutus, Vumatiti Mdogo (Little Bittern)
- Ixobrychus sturmii, Vumatiti Kibete (Dwarf Bittern)
- Tigriornis leucolopha, Vumatiti-misitu (White-crested Tiger Bittern)
Spishi za mabara mengine
- Botaurus lentiginosus (American Bittern)
- Botaurus pinnatus (Pinnated au South American Bittern)
- Botaurus poiciloptilus (Australasian Bittern)
- Dupetor flavicollis (Black Bittern)
- Ixobrychus cinnamomeus (Cinnamon Bittern)
- Ixobrychus dubius (Black-backed Bittern)
- Ixobrychus eurhythmus (Von Schrenck's Bittern)
- Ixobrychus exilis (Least Bittern)
- Ixobrychus involucris (Stripe-backed Bittern)
- †Ixobrychus novaezelandiae (New Zealand Bittern) imekwaisha sasa (miaka 1890)
- Ixobrychus sinensis (Yellow Bittern)
- Tigrisoma fasciatum (Fasciated Tiger Heron)
- Tigrisoma lineatum (Rufescent Tiger Heron)
- Tigrisoma mexicanum (Bare-throated Tiger Heron)
- Zebrilus undulatus (Zigzag Heron)
- Zonerodius heliosylus (Forest Bittern)
Picha
-
Vumatiti mkubwa
-
Vumatiti mdogo
-
American bittern
-
Australasian bittern
-
Least bittern
-
Black bittern
-
Yellow bittern
-
Fasciated tiger heron
-
Rufescent Tiger Heron
-
Bare-throated tiger heron