Mnavu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa mpya |
Solanum americanum |
||
Mstari 16: | Mstari 16: | ||
}} |
}} |
||
'''Mnavu''' au '''mnafu''' (''Solanum nigrum'') ni [[mmea]] katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Solanaceae]]. Kwa kawaida huu ni mmea wa pori, lakini unapandwa mahali pengi katika [[Afrika ya Mashariki]]. Mingi ya mimea ya pori ina [[sumu]], [[tunda|matunda]] mabichi hasa. Kula kwa [[beri]] bichi na mara nyingi [[jani|majani]] pia kunaweza kusababisha kifo cha [[mtoto|watoto]] na [[ufugaji|mifugo]]. Lakini aina za mnavu zinazopandwa zinaweza kuliwa baada ya kuzipika. Matunda mabivu yanaweza kuliwa kwa kawaida bila kupikwa, aina zenye matunda mekundu au yenye rangi ya machungwa hasa (rangi ya kawaida ni nyeusi). |

Kuna [[spishi]] nyingine, ''Solanum americanum'', ambayo imewasilishwa katika [[Afrika]] na ambayo inafanana sana na ''S. nigrum''. Watu wengi hawawezi kulinganua spishi hizi na mbili zote huitwa mnavu. Hata ''S. americanum'' hulika. |
|||
==Picha== |
==Picha== |
Pitio la 20:50, 6 Oktoba 2013
Mnavu (Solanum nigrum) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mnavu
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mnavu au mnafu (Solanum nigrum) ni mmea katika familia Solanaceae. Kwa kawaida huu ni mmea wa pori, lakini unapandwa mahali pengi katika Afrika ya Mashariki. Mingi ya mimea ya pori ina sumu, matunda mabichi hasa. Kula kwa beri bichi na mara nyingi majani pia kunaweza kusababisha kifo cha watoto na mifugo. Lakini aina za mnavu zinazopandwa zinaweza kuliwa baada ya kuzipika. Matunda mabivu yanaweza kuliwa kwa kawaida bila kupikwa, aina zenye matunda mekundu au yenye rangi ya machungwa hasa (rangi ya kawaida ni nyeusi).
Kuna spishi nyingine, Solanum americanum, ambayo imewasilishwa katika Afrika na ambayo inafanana sana na S. nigrum. Watu wengi hawawezi kulinganua spishi hizi na mbili zote huitwa mnavu. Hata S. americanum hulika.
Picha
-
Ua
-
Matunda mabichi
-
Matunda mabivu aina ya nyeusi
-
Matunda mabivu aina ya nyekundu
-
Mnavu na mnvavunavu
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mnavu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |