Vumatiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza be:Botaurus
Masahihisho ya majina
Mstari 17: Mstari 17:
| spishi = Angalia katiba
| spishi = Angalia katiba
}}
}}
'''Vumatiti''' ni [[ndege]] wakubwa wa [[jenasi]] kadhaa (angalia sanduku ya uainishaji) katika [[familia]] ya [[Ardeidae]] wenye domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko [[spishi]] nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula [[samaki]], [[amfibia]] na [[mdudu|wadudu]] wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya( miti au) matete. Hata matago yamefichika kwa kawaida.
'''Vumatiti''' ni [[ndege]] wakubwa wa [[nusufamiiia]] [[Botaurinae]] na [[Tigrisomatinae]] katika [[familia]] ya [[Ardeidae]] wenye domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko [[spishi]] nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula [[samaki]], [[amfibia]] na [[mdudu|wadudu]] wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya( miti au) matete. Hata matago yamefichika kwa kawaida.

== Spishi za Afrika ==
== Spishi za Afrika ==
* ''Botaurus stellaris'', [[Vumatiti Mkubwa]] ([[w:Great Bittern|Great Bittern]])
* ''Botaurus stellaris'', [[Vumatiti Mkubwa]] ([[w:Eurasian Bittern|Eurasian]] au Great Bittern)
* ''Ixobrychus minutus'', [[Vumatiti Mdogo]] ([[w:Little Bittern|Little Bittern]])
* ''Ixobrychus minutus'', [[Vumatiti Mdogo]] ([[w:Little Bittern|Little Bittern]])
* ''Ixobrychus sturmii'', [[Vumatiti Kibete]] ([[w:Dwarf Bittern|Dwarf Bittern]])
* ''Ixobrychus sturmii'', [[Vumatiti Kibete]] ([[w:Dwarf Bittern|Dwarf Bittern]])
* ''Tigriornis leucolopha'', [[Vumatiti-msitu]] ([[w:White-crested Tiger Bittern|White-crested Tiger Bittern]])
* ''Tigriornis leucolopha'', [[Vumatiti-misitu]] ([[w:White-crested Tiger Bittern|White-crested Tiger Bittern]])

== Spishi za mabara mengine ==
== Spishi za mabara mengine ==
* ''Botaurus lentiginosus'' ([[w:American Bittern|American Bittern]])
* ''Botaurus lentiginosus'' ([[w:American Bittern|American Bittern]])
* ''Botaurus pinnatus'' ([[w:South American Bittern|South American Bittern]])
* ''Botaurus pinnatus'' ([[w:Pinnated Bittern|Pinnated]] au South American Bittern)
* ''Botaurus poiciloptilus'' ([[w:Australasian Bittern|Australasian Bittern]])
* ''Botaurus poiciloptilus'' ([[w:Australasian Bittern|Australasian Bittern]])
* ''Dupetor flavicollis'' ([[w:Black Bittern|Black Bittern]])
* ''Dupetor flavicollis'' ([[w:Black Bittern|Black Bittern]])
* ''Ixobrychus cinnamomeus'' ([[w:Cinnamon Bittern|Cinnamon Bittern]])
* ''Ixobrychus cinnamomeus'' ([[w:Cinnamon Bittern|Cinnamon Bittern]])
* ''Ixobrychus dubius'' ([[w:Black-backed Bittern|Black-backed Bittern]])
* ''Ixobrychus dubius'' ([[w:Black-backed Bittern|Black-backed Bittern]])
* ''Ixobrychus eurhythmus'' ([[w:Schrenck's Bittern|Schrenck's Bittern]])
* ''Ixobrychus eurhythmus'' ([[w:Von Schrenck's Bittern|Von Schrenck's Bittern]])
* ''Ixobrychus exilis'' ([[w:Least Bittern|Least Bittern]])
* ''Ixobrychus exilis'' ([[w:Least Bittern|Least Bittern]])
* ''Ixobrychus involucris'' ([[w:Stripe-backed Bittern|Stripe-backed Bittern]])
* ''Ixobrychus involucris'' ([[w:Stripe-backed Bittern|Stripe-backed Bittern]])
* †''Ixobrychus novaezelandiae'' ([[w:New Zealand Bittern|New Zealand Bittern]]) '''imekwaisha sasa (miaka 1890)'''
* ''Ixobrychus sinensis'' ([[w:Yellow Bittern|Yellow Bittern]])
* ''Ixobrychus sinensis'' ([[w:Yellow Bittern|Yellow Bittern]])
* ''Tigrisoma fasciatum'' ([[w:Fasciated Tiger Heron|Fasciated Tiger Heron]])
* ''Tigrisoma fasciatum'' ([[w:Fasciated Tiger Heron|Fasciated Tiger Heron]])
Mstari 40: Mstari 41:
* ''Tigrisoma mexicanum'' ([[w:Bare-throated Tiger Heron|Bare-throated Tiger Heron]])
* ''Tigrisoma mexicanum'' ([[w:Bare-throated Tiger Heron|Bare-throated Tiger Heron]])
* ''Zebrilus undulatus'' ([[w:Zigzag Heron|Zigzag Heron]])
* ''Zebrilus undulatus'' ([[w:Zigzag Heron|Zigzag Heron]])
* ''Zonerodius heliosylus'' ([[w:New Guinea Tiger Heron|New Guinea Tiger Heron]])
* ''Zonerodius heliosylus'' ([[w:Forest Bittern|Forest Bittern]])

== Picha ==
== Picha ==

Pitio la 22:33, 19 Agosti 2012

Vumatiti
Vumatiti mdogo
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Pelecaniformes (Ndege kama makorongo)
Familia: Ardeidae (Ndege walio na mnasaba na koikoi)
Jenasi: Botaurus Stephens, 1819

Ixobrychus Billberg, 1828
Tigriornis Sharpe, 1895
Tigrisoma Swainson, 1827
Zonerodius Salvadori, 1882

Spishi: Angalia katiba

Vumatiti ni ndege wakubwa wa nusufamiiia Botaurinae na Tigrisomatinae katika familia ya Ardeidae wenye domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula samaki, amfibia na wadudu wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya( miti au) matete. Hata matago yamefichika kwa kawaida.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha