Hipparchos wa Nikaia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: ka:ჰიპარქე |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Image:Hipparchos 1.jpeg|thumb|Hipparchos]] |
[[Image:Hipparchos 1.jpeg|thumb|Hipparchos]] |
||
'''Hipparchos''' ([[Kigiriki]] Ἵππαρχος; takr. [[190 KK]] hadi takr. [[120 KK]]) alikuwa mtaalamu wa [[ |
'''Hipparchos''' ([[Kigiriki]] Ἵππαρχος; takr. [[190 KK]] hadi takr. [[120 KK]]) alikuwa mtaalamu wa [[astronomia]], [[jiografia]] na [[hisabati]] wa [[Ugiriki ya Kale]]. |
||
Alizaliwa mjini [[Nikaia]] (leo: [[Iznik]] katika [[Uturuki]]) akafariki kwenye kisiwa cha [[Rhodos]]. Hutazamiwa kama |
Alizaliwa mjini [[Nikaia]] (leo: [[Iznik]] katika [[Uturuki]]) akafariki kwenye kisiwa cha [[Rhodos]]. Hutazamiwa kama mwanaastronomia muhimu kabisa wa nyakati za kale. |
||
Aliorodhesha [[nyota]] 800 na kuzichora katika ramani ya anga. Aliweza kukadiria [[kupatwa kwa jua]] na kukutabiri. |
Aliorodhesha [[nyota]] 800 na kuzichora katika ramani ya anga. Aliweza kukadiria [[kupatwa kwa jua]] na kukutabiri. |
||
Mstari 8: | Mstari 8: | ||
Katika [[hisabati]] alianzisha mbinu za kijiometria kwa mfano mgawanyo wa [[duara]] kuwa na [[nyuzi]] 360. |
Katika [[hisabati]] alianzisha mbinu za kijiometria kwa mfano mgawanyo wa [[duara]] kuwa na [[nyuzi]] 360. |
||
[[Category: |
[[Category:astronomia]] |
||
[[Category:Hisabati]] |
[[Category:Hisabati]] |
||
[[Category:Wataalamu Ugiriki ya Kale]] |
[[Category:Wataalamu Ugiriki ya Kale]] |
Pitio la 19:10, 15 Mei 2011
Hipparchos (Kigiriki Ἵππαρχος; takr. 190 KK hadi takr. 120 KK) alikuwa mtaalamu wa astronomia, jiografia na hisabati wa Ugiriki ya Kale.
Alizaliwa mjini Nikaia (leo: Iznik katika Uturuki) akafariki kwenye kisiwa cha Rhodos. Hutazamiwa kama mwanaastronomia muhimu kabisa wa nyakati za kale.
Aliorodhesha nyota 800 na kuzichora katika ramani ya anga. Aliweza kukadiria kupatwa kwa jua na kukutabiri.
Katika hisabati alianzisha mbinu za kijiometria kwa mfano mgawanyo wa duara kuwa na nyuzi 360.