Tofauti kati ya marekesbisho "Antili Ndogo"

Jump to navigation Jump to search
98 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d
d (r2.5.2) (roboti Nyongeza: ka:მცირე ანტილის კუნძულები; cosmetic changes)
[[ImagePicha:LocationLesserAntilles.png|thumb|Antili Ndogo ni sehemu ya kusini ya pinde la [[visiwa vya Karibi]]]]
'''Antili Ndogo''' ni kikundi cha visiwa vidogo katika [[Atlantiki]] mbele ya pwani la [[Amerika ya Kati]]. Ni sehemu ya kusini [[Visiwa vya Karibi]]. Antili ndogo ina umbo la pinde kati ya pwani la Venezuela na kisiwa kikubwa cha [[Puerto Rico]].
 
== Jiolojia ==
Pinde hufuata mstari wa mpaka wa [[bamba la Karibi]]. Visiwa vyote ni ya asili ya kivolkeno. [[Volkeno]] hai na [[mtetemeko wa ardhi|mitetemeko ya ardhi]] ni kawaida.
 
== Orodha ya visiwa ==
* [[Visiwa vya Virgin vya Marekani]]: [[Saint Thomas (Visiwa vya Virgin vya Marekani)|St. Thomas]], [[Saint John, (Visiwa vya Virgin vya Marekani)|St. John]], [[Saint Croix (Visiwa vya Virgin vya Marekani)|St. Croix]]
* [[Visiwa vya Virgin vya Uingereza]]: [[Tortola]], [[Virgin Gorda]], [[Anegada]], [[Jost Van Dyke]]
* [[Anguilla]] ([[Kiing.]])
* [[Saint Martin]] (chini ya [[Ufaransa]] pamoja na [[Antili za Kiholanzi]]).
* [[Saint-Barthélemy]] (Kifar.)
* [[Saba]] (Kihol.)
* [[Sint Eustatius]] ([[Kihol.]])
* [[Saint Kitts]]
* [[Nevis]]
* [[Barbuda]]
* [[Antigua]]
* [[Redonda]]
* [[Montserrat]] (Kiing.)
* [[Guadeloupe]] ([[Kifar.]])
* [[La Désirade]] (Kifar.)
* [[Les Saintes]] (Kifar.)
* [[Marie-Galante]] (Kifar.)
* [[Dominica]]
* [[Martinique]] (Kifar.)
* [[Saint Lucia]]
* [[Barbados]]
* [[Saint Vincent (kisiwa)|Saint Vincent]]
* [[Grenadines]]
* [[Grenada]]
* [[Trinidad and Tobago]]
 
Visiwa karibu na pwani la [[Venezuela]]:
* [[Aruba]] (Kihol.)
* [[Curaçao]] (Kihol.)
* [[Bonaire]] (Kihol.)
* [[Maeneo ya Venezuela|Fungukisiwa cha Venezuela]]
 
{{mbegu-jio-Karibi}}
 
[[CategoryJamii:Karibi]]
[[CategoryJamii:Antili Ndogo]]
[[CategoryJamii:Visiwa vya Atlantiki]]
 
[[ar:جزر الأنتيل الصغرى]]
[[it:Piccole Antille]]
[[ja:小アンティル諸島]]
[[ka:მცირე ანტილის კუნძულები]]
[[ko:소앤틸리스 제도]]
[[ku:Antîlên Biçûk]]
44,069

edits

Urambazaji