Saint Thomas (Visiwa vya Virgin vya Marekani)
Mandhari
Saint Thomas ni kisiwa kikubwa cha Visiwa vya Virgin vya Marekani katika bahari ya Karibi. Kuna wakazi 51,181 na eneo la kisiwa ni 80.9 km². Mji mkuu pia makao makuu ya utawala wa Kimarekani wa eneo hili ni mji wa Charlotte Amalie.
St. Thomas ilikuwa kisiwa kikuu cha India ya Magharibi ya Kidenmark kati ya 1672 - 1917. Tangu 1917 visiwa vimeuzwa kwa Marekani. Siku hizi ni eneo la Marekani, wakazi ni raia wa Marekani lakini hawashiriki katika uchaguzi wa rais au bunge la Washington.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Sensa ya 2002 katika Visiwa vya Virgin vya Marekani
- (Kiingereza)"US Virgin Islands" at Lonely Planet Ilihifadhiwa 3 Aprili 2005 kwenye Wayback Machine.
- (Kiingereza) "St. Thomas Newspaper"
- (Kiingereza) St.Thomas at WhereToStay.com Ilihifadhiwa 30 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saint Thomas (Visiwa vya Virgin vya Marekani) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |