Nenda kwa yaliyomo

Charlotte Amalie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Charlotte Amalie


Charlotte Amalie
Nchi Visiwa vya Virgin vya Marekani

Charlotte Amalie ni mji mwenye wakazi 19,000 kwenye kisiwa cha Saint Thomas na mji mkuu wa Visiwa vya Virgin vya Marekani. Hii ni funguvisiwa ambayo ni sehemu ya Antili Ndogo katika Bahari ya Karibi karibu na Puerto Rico.

Mji ulipewa jina lake kutoka kwa Charlotte Amalie (1650-1714), aliyekuwa mke wa mfalme Christian V wa Denmark. Wakati ule visiwa vilikuwa koloni ya Denmark.Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Charlotte Amalie kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.