Shaba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: koi:Ыргöн
Nyongeza shaba nyeupe
Mstari 18: Mstari 18:
}}
}}


'''Shaba ''' (pia: '''Kupri''' au '''Cupri''' kama jina la kisayansi) ni [[elementi]] yenye namba atomia '''29''' kwenye [[mfumo radidia]], uzani atomia ni 65.54. Alama yake ni '''CU'''.
'''Shaba ''' au '''shaba nyekundu''' (pia: '''Kupri''' au '''Cupri''' kama jina la kisayansi) ni [[elementi]] yenye namba atomia '''29''' kwenye [[mfumo radidia]], uzani atomia ni 65.54. Alama yake ni '''CU'''.


Katika mazingira ya kawaida ni [[metali]] yenye rangi kahawia nyekundu. Kiwango chake cha kuyeyuka ni 1,083 [[C°]].
Katika mazingira ya kawaida ni [[metali]] yenye rangi kahawia nyekundu. Kiwango chake cha kuyeyuka ni 1,083 [[C°]].
Mstari 24: Mstari 24:
Ni kati ya metali za kwanza wanadamu walitumia baada ya kutoka katika [[zama za mawe]]. Si metali ngumu zana hivyo ilikuwa nyepesi ya kushughulikia kwa wanadamu wa kale.
Ni kati ya metali za kwanza wanadamu walitumia baada ya kutoka katika [[zama za mawe]]. Si metali ngumu zana hivyo ilikuwa nyepesi ya kushughulikia kwa wanadamu wa kale.


Ikichanganywa na [[stani]] kunatokea [[aloi]] ya [[bronzi]] ambayo ni ngumu zaidi.
Ikichanganywa na [[stani]] kunatokea [[aloi]] ya [[bronzi]] ambayo ni ngumu zaidi. Aloi nyingine ni [[shaba nyeupe]], mchanganyo wa shaba nyekundu na [[zinki]].


Wakati mwingine shaba hupatikana kama metali tupu lakini mara nyingi zaidi kama [[mtapo]].
Wakati mwingine shaba hupatikana kama metali tupu lakini mara nyingi zaidi kama [[mtapo]].

Pitio la 22:48, 10 Novemba 2010


Shaba au Kupri (cuprum)
Jina la Elementi Shaba au Kupri (cuprum)
Alama Cu
Namba atomia 29
Mfululizo safu Metali
Uzani atomia 65.54
Valensi 2, 8, 18, 1
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 1357.77 K (1084.62°C)
Kiwango cha kuchemka 2835 K (2562 °C)
Asilimia za ganda la dunia 0.01 %
Hali maada mango

Shaba au shaba nyekundu (pia: Kupri au Cupri kama jina la kisayansi) ni elementi yenye namba atomia 29 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni 65.54. Alama yake ni CU.

Katika mazingira ya kawaida ni metali yenye rangi kahawia nyekundu. Kiwango chake cha kuyeyuka ni 1,083 .

Ni kati ya metali za kwanza wanadamu walitumia baada ya kutoka katika zama za mawe. Si metali ngumu zana hivyo ilikuwa nyepesi ya kushughulikia kwa wanadamu wa kale.

Ikichanganywa na stani kunatokea aloi ya bronzi ambayo ni ngumu zaidi. Aloi nyingine ni shaba nyeupe, mchanganyo wa shaba nyekundu na zinki.

Wakati mwingine shaba hupatikana kama metali tupu lakini mara nyingi zaidi kama mtapo.

Tabia muhimu ya shaba ni uwezo wake wa kupitisha umeme. Hivyo imekuwa msingi wa teknolojia yote ya umeme hasa nyaya za kila aina.

Siku hizi shaba huchimbwa hasa katika nchi za Chile (Chuquicamata), Marekani, Urusi, Zambia ("Copperbelt" - kanda la shaba), Zaire(Katanga), Kanada na Peru.

Kigezo:Link FA