Wakatoliki wa Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created page with ''''Wakatoliki wa Kale''' ni jina linalotumika kujumlisha Wakristo wa Magharibi ambao wametengana na Askofu wa Roma hasa baada ya Mtaguso wa kwanza wa Vatikano...'
 
d roboti Nyongeza: wa:Eglijhe vî-catolike
Mstari 37: Mstari 37:
[[sl:Starokatoliška Cerkev]]
[[sl:Starokatoliška Cerkev]]
[[sv:Gammalkatolska kyrkor]]
[[sv:Gammalkatolska kyrkor]]
[[wa:Eglijhe vî-catolike]]
[[zh:舊天主教會]]
[[zh:舊天主教會]]

Pitio la 03:45, 19 Machi 2010

Wakatoliki wa Kale ni jina linalotumika kujumlisha Wakristo wa Magharibi ambao wametengana na Askofu wa Roma hasa baada ya Mtaguso wa kwanza wa Vatikano (1869-1870) kutangaza dogma ya Papa kutoweza kukosea anapotamka rasmi jambo fulani kama fundisho la kudumu moja kwa moja.

Wakristo hao walijipatia Uaskofu halisi katika mlolongo wa Mitume kupitia Askofu wa Utrecht mwaka 1873, na baada ya hapo waliusambaza kwa madhehebu mengi.

Imani na liturujia zao zinafanana na zile za Kanisa Katoliki, lakini taratibu zimekwenda mbali.

Baadhi ya Makanisa ya namna hiyo yanaunda "Umoja wa Utrecht" ulioanzishwa mwaka 1889.