Ambrosi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Ondoa: br:Ambroaz a vMilano
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:AmbroseOfMilan.jpg|thumb|Mt. Ambrosi alivyochorwa kwa nakshi za mawe katika [[kanisa]] lake huko Milano]]
'''Aureli Ambrosi''' (334/339 - 397), alikuwa [[askofu]] wa [[Milano]] kuanzia mwaka 374 hadi kifo chake. Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]], [[babu wa Kanisa]] na [[mwalimu wa Kanisa]].
'''Aureli Ambrosi''' (334/339 - 397), alikuwa [[askofu]] wa [[Milano]] kuanzia mwaka [[374]] hadi kifo chake.


Ndiye aliyemuongoa na kumbatiza [[Agostino wa Hippo]]


Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]], [[babu wa Kanisa]] na [[mwalimu wa Kanisa]]. Sikuku yake ni tarehe [[7 Desemba]] kila mwaka.
[[Image:AmbroseOfMilan.jpg|thumb|Mt. Ambrogio katika kanisa lake huko Milano]]


==Maandishi yake==
==Maandishi yake==
Mstari 55: Mstari 57:
*[http://www.documentacatholicaomnia.eu/20_40_0339-0397-_Ambrosius_Mediolanensis,_Sanctus.html Maandishi yake yote kutoka Patrologia Latina ya Migne pamoja na faharasa]
*[http://www.documentacatholicaomnia.eu/20_40_0339-0397-_Ambrosius_Mediolanensis,_Sanctus.html Maandishi yake yote kutoka Patrologia Latina ya Migne pamoja na faharasa]


[[Jamii:Waliofariki 397]]
[[Category:Watakatifu Wakristo]]
[[Category:Watakatifu wa Italia]]
[[Category:Mababu wa Kanisa]]
[[Category:Mababu wa Kanisa]]
[[Category:Walimu wa Kanisa]]
[[Category:Walimu wa Kanisa]]
[[Category:Watu wa Italia]]
[[Category:Maaskofu Wakatoliki]]


[[be:Амвросій Міланскі]]
[[be:Амвросій Міланскі]]

Pitio la 05:30, 30 Agosti 2009

Mt. Ambrosi alivyochorwa kwa nakshi za mawe katika kanisa lake huko Milano

Aureli Ambrosi (334/339 - 397), alikuwa askofu wa Milano kuanzia mwaka 374 hadi kifo chake.

Ndiye aliyemuongoa na kumbatiza Agostino wa Hippo

Anaheshimiwa kama mtakatifu, babu wa Kanisa na mwalimu wa Kanisa. Sikuku yake ni tarehe 7 Desemba kila mwaka.

Maandishi yake

Ufafanuzi wa Biblia

  • Hexameron
  • De Paradiso
  • De Cain et Abel
  • De Noe
  • De Abraham
  • De Isaac et Anima
  • De Bono Mortis
  • De Fuga Saeculi
  • De Jacob et Vita Beata
  • De Joseph
  • De Patriarchis
  • De Helia e Jejunio
  • De Nabuthae Historia
  • De Tobia
  • De Interpellatione Job et David
  • De Apologia Profhetae David
  • Ennarrationes in XII Psalmos Davidicos
  • Expositio Psalmi CXVIII
  • Esposizione Evangelii Lucae
  • Expositio Isaiae Prophetae

Kuhusu dogma

  • De Fide ad Gratianum
  • De Spiritu Sancto
  • De Incarnationis Dominicae Sacramento
  • Explanatio Symboli ad Initiandos
  • Expositio Fidei
  • De Mysteriis
  • De Sacramentis
  • De Poenitentia
  • De Sacramento regenerationis vel de Philosophia

Kuhusu maadili na maisha ya kiroho

  • De Officiis Ministrorum
  • De Virginibus
  • De Viduis
  • De Virginitate
  • De Instituitione Virginis
  • Exhortatio Virginitatis

Mengineyo

  • De obitu Theodosii
  • Epistulae, hymni, etc.

Viungo vya nje