Adalbert wa Prague : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d picha
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Sanctus Adalbertus.jpg|thumb|right|Adalbert wa Prague]]
[[Picha:Sanctus Adalbertus.jpg|thumb|right|Adalbert wa Prague]]
'''Adalbert wa Prague''' (takriban [[956]] – [[23 Aprili]], [[997]]) alikuwa askofu katika mji wa [[Prague]]. Mwaka wa 999 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 23 Aprili.
'''Adalbert wa Prague''' (kwa [[Kicheki]] Vojtěch, kwa [[Kipolandi]] Wojciech, kwa [[Kijerumani]] Adalbert) alizaliwa [[Libice]] takriban mwaka [[956]] – akauawa tarehe [[23 Aprili]], [[997]]) akiwa [[askofu]] [[mmisionari]] katika mji wa [[Prague]] ([[Ucheki]]).

Mwaka [[999]] alitangazwa kuwa [[mtakatifu]] [[mfiadini]]. Sikukuu yake ni tarehe [[23 Aprili]].


{{DEFAULTSORT:Adalbert}}
{{DEFAULTSORT:Adalbert}}
[[Category:Waliozaliwa 956]]
[[Category:Waliozaliwa 956]]
[[Category:Waliofariki 997]]
[[Category:Waliofariki 997]]
[[Category:Watakatifu Wakristo]]
[[Category:Watakatifu wa Poland]]
[[Category:Watu wa Ucheki]]
[[Category:Watakatifu wa Ucheki]]
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]


{{mbegu-Mkristo}}
{{mbegu-Mkristo}}

Pitio la 04:52, 30 Agosti 2009

Adalbert wa Prague

Adalbert wa Prague (kwa Kicheki Vojtěch, kwa Kipolandi Wojciech, kwa Kijerumani Adalbert) alizaliwa Libice takriban mwaka 956 – akauawa tarehe 23 Aprili, 997) akiwa askofu mmisionari katika mji wa Prague (Ucheki).

Mwaka 999 alitangazwa kuwa mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 23 Aprili.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.