Mtawa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mtawa''' ni mtu anayejitenga na ulimwengu ili kuishi maisha maadilifu.
'''Mtawa''' ni mtu anayejitenga na ulimwengu ili kuishi maisha maadilifu.

Katika [[dini]] mbalimbali, mfano mmojawapo ni ule wa [[wamonaki]]. Lakini katika [[Ukristo]], [[historia ya utawa]] ilitokeza aina mbalimbali.
Katika [[dini]] mbalimbali, mfano mmojawapo ni ule wa [[wamonaki]]. Lakini katika [[Ukristo]], [[historia ya Utawa]] ilitokeza aina mbalimbali.

Katika [[Kanisa Katoliki]], ni mwamini yeyote aliyejiweka [[wakfu]] hasa kwa kushika [[useja mtakatifu]], na kwa kawaida pia [[ufukara]] na [[utiifu]].
Katika [[Kanisa Katoliki]], ni mwamini yeyote aliyejiweka [[wakfu]] hasa kwa kushika [[useja mtakatifu]], na kwa kawaida pia [[ufukara]] na [[utiifu]].

Pitio la 21:18, 2 Mei 2009

Mtawa ni mtu anayejitenga na ulimwengu ili kuishi maisha maadilifu.

Katika dini mbalimbali, mfano mmojawapo ni ule wa wamonaki. Lakini katika Ukristo, historia ya Utawa ilitokeza aina mbalimbali.

Katika Kanisa Katoliki, ni mwamini yeyote aliyejiweka wakfu hasa kwa kushika useja mtakatifu, na kwa kawaida pia ufukara na utiifu.

Mara nyingi watawa wanaunda mashirika yenye karama moja inayofafanuliwa na kuratibiwa katika kanuni na katiba maalumu.

Mtawa anaweza kuwa mwanamume au mwanamke, mwenye daraja takatifu au la.