Mlima Olimpos : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Mount_Olympus_from_Litochoro.jpg|thumb|250px|Mlima Olimpos]]
[[Picha:Mount_Olympus_from_Litochoro.jpg|thumb|250px|Mlima Olimpos.]]
'''Mlima Olimpos''' (kwa [[Kigiriki]]: Όλυμπος, ''Ólympos'') ni [[Safu ya milima|safu]] ndogo ya [[milima]] yenye vilele 52. [[Kilele]] cha juu ni Mytikas kinachofikia [[mita]] 2,918 [[juu ya UB]], kikiwa kirefu kuliko milima yote ya [[Ugiriki]].


Katika masimulizi ya [[mitholojia ya Kigiriki|mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] mlima huu ulikuwa makao ya [[Miungu|miungu]] yao. Miungu iliyokuwa ikidhaniwa kuishi katika mlima Olimpos walikuwa 10 kati ya 12, mmoja kati ya wawili aliishi chini ya [[dunia]] ([[kuzimu]]) alikuwa akiitwa [[Hade]] na mwingine aliishi [[Bahari|baharini]] akiitwa [[Poseidon]].
'''Mlima Olimpos''' ([[Kigiriki]]: Όλυμπος, ''Ólympos'') ni [[Safu ya milima|safu]] ndogo ya [[milima]] yenye vilele 52. [[Kilele]] cha juu ni Mytikas kinachofikia [[mita]] 2,918 [[juu ya UB]], kirefu kuliko milima yote ya [[Ugiriki]].

Katika masimulizi ya [[mitholojia ya Kigiriki|mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] mlima huu ulikuwa makao ya miungu yao.


{{mbegu-jio-Ugiriki}}
{{mbegu-jio-Ugiriki}}
miungu iliyokuwa ikiishi katika mlima olimpos walikuwa 10 kati ya 12, mmoja kati ya wawili aliishi chini ya dunia (kuzimu) alikuwa akiitwa hade na mwingine aliishi baharini akiitwa poseidon
{{DEFAULTSORT:Olimpos}}
{{DEFAULTSORT:Olimpos}}
[[Jamii:Milima ya Ugiriki]]
[[Jamii:Milima ya Ugiriki]]

Pitio la 11:45, 4 Septemba 2020

Mlima Olimpos.

Mlima Olimpos (kwa Kigiriki: Όλυμπος, Ólympos) ni safu ndogo ya milima yenye vilele 52. Kilele cha juu ni Mytikas kinachofikia mita 2,918 juu ya UB, kikiwa kirefu kuliko milima yote ya Ugiriki.

Katika masimulizi ya mitholojia ya Ugiriki ya Kale mlima huu ulikuwa makao ya miungu yao. Miungu iliyokuwa ikidhaniwa kuishi katika mlima Olimpos walikuwa 10 kati ya 12, mmoja kati ya wawili aliishi chini ya dunia (kuzimu) alikuwa akiitwa Hade na mwingine aliishi baharini akiitwa Poseidon.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Olimpos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.