Mpunga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d +image #WPWP,#WPWPTZ
dNo edit summary
Mstari 36: Mstari 36:
File:Rice-flower,katori-city,japan.JPG|Mpunga wa kiasia (maua)
File:Rice-flower,katori-city,japan.JPG|Mpunga wa kiasia (maua)
File:Upland vs. paddy farming in China.JPG|Mashamba ya mpunga huko China
File:Upland vs. paddy farming in China.JPG|Mashamba ya mpunga huko China
File:2017 06 Ali- 00977.jpg|Mashamba ya mpunga nchini kenya
File:2017 06 Ali- 00977.jpg|Mashamba ya mpunga nchini Kenya
</gallery>
</gallery>



Pitio la 16:26, 22 Julai 2020

Mpunga
(Oryza spp.)
Mpunga wa kiasia
Mpunga wa kiasia
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama kongwe)
Oda: Poales (Mimea kama manyasi)
Familia: Poaceae (Mimea iliyo na mnasaba na nyasi)
Jenasi: Oryza
L.
Spishi: O. barthii A. Chev.

O. glaberrima Steud.
O. longistaminata Steud. & Roehr.
O. rufipogon Griff.
O. sativa L.
O. nivara S.D. Sharma & Shastry

Mpunga ni aina ya mimea katika familia ya manyasi (Poaceae). Spishi kadhaa zinapandwa katika sehemu mbalimbali za dunia, lakini mpunga wa kiasia ni ile ya kawaida.

Mpunga ni chanzo cha chakula kwa watu wengi duniani. Punje (mbegu) zake ni nafaka na huitwa mchele. Mchele uliopikwa ni wali.

Spishi

Picha