Uchimbaji madini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Uchimbaji madini''' ni kitendo cha kulima au kuchimba ardhi kwa ajiri ya kupata '''madini'''.Kitu chochote ambacho hakiwezi kukuzwa au kuundwa...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Uchimbaji madini''' ni kitendo cha [[kilimo|kulima]] au kuchimba [[ardhi]] kwa ajiri ya kupata '''madini'''.Kitu chochote ambacho hakiwezi kukuzwa au kuundwa lazima kichimbwe.Kile kitendo cha kuchukua madini kutoka ardhini ndicho kinaitwa uchimbaji madini.Uchimbaji madini unaweza kufanywa ili kupata madini ya ki[[metali]] au yasiyo ya kimetali mfano,[[Almasi]],[[Dhahabu]],[[Shaba]],[[Makaa ya mawe]],[[Chumvi]],[[Chuma]] na hata [[gesi asilia]].[[File:Wurfschaufellader 01.JPG|thumb|Mchimbaji madini na [[mashine]] ya kuchimbia]].
[[File:Wurfschaufellader 01.JPG|thumb|Mchimbaji madini na [[mashine]] ya kuchimbia]].
'''Uchimbaji madini''' ni kitendo cha kuchimba [[ardhi]] kwa ajili ya kupata [[madini]]. Kitu chochote ambacho hakiwezi kukuzwa au kuundwa lazima kichimbwe. Kile kitendo cha kuchukua madini kutoka ardhini ndicho kinachoitwa uchimbaji madini. Uchimbaji madini unaweza kufanywa ili kupata madini ya [[metali]] au yasiyo metali, kwa mfano: [[Almasi]], [[Dhahabu]], [[Shaba]], [[Makaa ya mawe]], [[Chumvi]], [[Chuma]] na hata [[gesi asilia]].

Uchimbaji mwingine hufanywa kwa kuondoa [[uchafu]] juu ya ardhi.Uchimbaji huu huitwa [[uchimbaji wa juu ya ardhi]].Uchimbaji mwingine hufanywa kwa kuchimba ndani zaidi kwenye ardhi kwenye mashimo ya ''machimbo ya madini''.Aina hii ya uchimbaji huitwa ''ujimbaji wa ardhini''.Lakini kuna baadhi ya madini yanachimbwa kwa [[njia]] tofauti kabisa na aina hizi za uchimbaji, mfano machimbo ya madini ya dhahabu.
Uchimbaji mwingine hufanywa kwa kuondoa [[uchafu]] juu ya ardhi. Uchimbaji huu huitwa [[uchimbaji wa juu ya ardhi]]. Uchimbaji mwingine hufanywa kwa kuchimba ndani zaidi kwenye ardhi kwenye mashimo ya ''machimbo ya madini''. Aina hii ya uchimbaji huitwa ''uchimbaji wa ardhini''. Lakini kuna baadhi ya madini yanachimbwa kwa [[njia]] tofauti kabisa na aina hizi za uchimbaji, mfano machimbo ya madini ya dhahabu.
Mfanya[[kazi]] anyechimba madini huitwa [[mchimba madini]].Uchimbaji wa madini chini wa chini ya ardhi ni wa hatari sana,wachimba madini kila [[mwaka]] hufa kwenye [[ajari]] hizo .Mara nyingi katika [[nchi]] [[maskini]].[[Vifaa|kifaa]] muhimu kwa ajiri ya kuongeza [[usalama]] hutumika ili kupunguza ongezeko la vifo vya wachimba madini.

kuna baadhi ya miji huwa kama [[miji|mji]] kwa ajili ya uchimbaji madini na wakazi wa maeneo hayo huwa ndio wanaochimba madini hayo kama [[ajira]]
[[Mfanyakazi]] anayechimba madini huitwa [[mchimba madini]]. Uchimbaji wa madini wa chini ya ardhi ni wa hatari sana: wachimba madini kila [[mwaka]] hufa kwenye [[ajali]] hizo, mara nyingi katika [[nchi]] [[maskini]]. [[Kifaa]] muhimu kwa ajili ya kuongeza [[usalama]] hutumika ili kupunguza [[Kifo|vifo]] vya wachimba madini.

Kuna baadhi ya [[miji]] iliyoanza kwa ajili ya uchimbaji madini na wakazi wa maeneo hayo huwa ndio wanaochimba madini hayo kama [[ajira]].

{{mbegu-uchumi}}

[[Jamii:Uchumi]]
[[Jamii:Madini]]

Pitio la 14:09, 26 Februari 2018

Mchimbaji madini na mashine ya kuchimbia

.

Uchimbaji madini ni kitendo cha kuchimba ardhi kwa ajili ya kupata madini. Kitu chochote ambacho hakiwezi kukuzwa au kuundwa lazima kichimbwe. Kile kitendo cha kuchukua madini kutoka ardhini ndicho kinachoitwa uchimbaji madini. Uchimbaji madini unaweza kufanywa ili kupata madini ya metali au yasiyo metali, kwa mfano: Almasi, Dhahabu, Shaba, Makaa ya mawe, Chumvi, Chuma na hata gesi asilia.

Uchimbaji mwingine hufanywa kwa kuondoa uchafu juu ya ardhi. Uchimbaji huu huitwa uchimbaji wa juu ya ardhi. Uchimbaji mwingine hufanywa kwa kuchimba ndani zaidi kwenye ardhi kwenye mashimo ya machimbo ya madini. Aina hii ya uchimbaji huitwa uchimbaji wa ardhini. Lakini kuna baadhi ya madini yanachimbwa kwa njia tofauti kabisa na aina hizi za uchimbaji, mfano machimbo ya madini ya dhahabu.

Mfanyakazi anayechimba madini huitwa mchimba madini. Uchimbaji wa madini wa chini ya ardhi ni wa hatari sana: wachimba madini kila mwaka hufa kwenye ajali hizo, mara nyingi katika nchi maskini. Kifaa muhimu kwa ajili ya kuongeza usalama hutumika ili kupunguza vifo vya wachimba madini.

Kuna baadhi ya miji iliyoanza kwa ajili ya uchimbaji madini na wakazi wa maeneo hayo huwa ndio wanaochimba madini hayo kama ajira.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchimbaji madini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.