Vumatiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Badiliko la sanduku la uainishaji
Nyongeza nusufamilia na nususpishi
Mstari 11: Mstari 11:
| familia = [[Ardeidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[koikoi]])
| familia = [[Ardeidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[koikoi]])
| bingwa_wa_familia = [[William Elford Leach|Leach]], 1820
| bingwa_wa_familia = [[William Elford Leach|Leach]], 1820
| subdivision = '''Jenasi 5:'''
| subdivision = '''Nusufamilia 2, jenasi 5:'''
* [[Botaurus]] <small>[[James Francis Stephens|Stephens]], 1819</small>
* [[Botaurinae]] <small></small>
** [[Botaurus]] <small>[[James Francis Stephens|Stephens]], 1819</small>
* [[Ixobrychus]] <small>[[Gustaf Johan Billberg|Billberg]], 1828</small>
** [[Dupetor]] <small>[[Ferdinand Heine, Jr.|Heine]] & [[Anton Reichenow|Reichenow]], 1890</small>
* [[Tigriornis]] <small>[[Richard Bowdler Sharpe|Sharpe]], 1895</small>
** [[Ixobrychus]] <small>[[Gustaf Johan Billberg|Billberg]], 1828</small>
* [[Tigrisoma]] <small>[[William Swainson|Swainson]], 1827</small>
** [[Zebrilus]] <small>[[Charles Lucien Bonaparte|Bonaparte]], 1855</small>
* [[Zonerodius]] <small>[[Tommaso Salvadori|Salvadori]], 1882</small>
* [[Tigrisomatinae]] <small></small>
** [[Tigriornis]] <small>[[Richard Bowdler Sharpe|Sharpe]], 1895</small>
** [[Tigrisoma]] <small>[[William Swainson|Swainson]], 1827</small>
** [[Zonerodius]] <small>[[Tommaso Salvadori|Salvadori]], 1882</small>
}}
}}
'''Vumatiti''' ni [[ndege]] wakubwa wa [[nusufamilia]] [[Botaurinae]] na [[Tigrisomatinae]] katika [[familia]] ya [[Ardeidae]] ambao wana domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko [[spishi]] nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula [[samaki]], [[amfibia]] na [[mdudu|wadudu]] wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga tago lao kwa matawi, [[nyasi|manyasi]] na [[mmea|mimea]] ingine katikati ya [[tete|matete]] au juu ya miti. Tago limefichika kwa kawaida.

== Spishi za Afrika ==
== Spishi za Afrika ==
Nusufamilia '''Botaurinae'''
* ''Botaurus stellaris'', [[Vumatiti Mkubwa]] ([[w:Eurasian Bittern|Eurasian]] au Great Bittern)
* ''Botaurus stellaris'', [[Vumatiti Mkubwa]] ([[w:Eurasian Bittern|Eurasian]] au Great Bittern)
** ''Botaurus s. capensis'', [[Vumatiti Mkubwa Kusi]] ([[w:Eurasian Bittern|Southern Great Bittern]])
** ''Botaurus s. stellaris'', [[Vumatiti Mkubwa wa Ulaya]] ([[w:Eurasian Bittern|Great Bittern]])
* ''Ixobrychus minutus'', [[Vumatiti Mdogo]] ([[w:Little Bittern|Little Bittern]])
* ''Ixobrychus minutus'', [[Vumatiti Mdogo]] ([[w:Little Bittern|Little Bittern]])
** ''Ixobrychus m. minutus'', [[Vumatiti Mdogo wa Ulaya]] ([[w:Little Bittern|Eurasian Little Bittern]])
** ''Ixobrychus m. payesii'', [[Vumatiti Mdogo wa Afrika]] ([[w:Little Bittern|African Little Bittern]])
** ''Ixobrychus m. podiceps'', [[Vumatiti Mdogo wa Madagaska]] ([[w:Little Bittern|Madagascan Little Bittern]])
* ''Ixobrychus sturmii'', [[Vumatiti Kibete]] ([[w:Dwarf Bittern|Dwarf Bittern]])
* ''Ixobrychus sturmii'', [[Vumatiti Kibete]] ([[w:Dwarf Bittern|Dwarf Bittern]])
Nusufamilia '''Tigrisomatinae'''
* ''Tigriornis leucolopha'', [[Vumatiti-misitu]] ([[w:White-crested Tiger Bittern|White-crested Tiger Bittern]])
* ''Tigriornis leucolopha'', [[Vumatiti-misitu]] ([[w:White-crested Tiger Heron|White-crested Bittern]])

== Spishi za mabara mengine ==
== Spishi za mabara mengine ==
Nusufamilia '''Botaurinae'''
* ''Botaurus lentiginosus'' ([[w:American Bittern|American Bittern]])
* ''Botaurus lentiginosus'' ([[w:American Bittern|American Bittern]])
* ''Botaurus pinnatus'' ([[w:Pinnated Bittern|Pinnated]] au South American Bittern)
* ''Botaurus pinnatus'' ([[w:Pinnated Bittern|Pinnated]] au South American Bittern)
Mstari 38: Mstari 50:
* †''Ixobrychus novaezelandiae'' ([[w:New Zealand Bittern|New Zealand Bittern]]) '''imekwaisha sasa (miaka 1890)'''
* †''Ixobrychus novaezelandiae'' ([[w:New Zealand Bittern|New Zealand Bittern]]) '''imekwaisha sasa (miaka 1890)'''
* ''Ixobrychus sinensis'' ([[w:Yellow Bittern|Yellow Bittern]])
* ''Ixobrychus sinensis'' ([[w:Yellow Bittern|Yellow Bittern]])
* ''Zebrilus undulatus'' ([[w:Zigzag Heron|Zigzag Heron]])
Nususfamilia '''Tigrisomatinae'''
* ''Tigrisoma fasciatum'' ([[w:Fasciated Tiger Heron|Fasciated Tiger Heron]])
* ''Tigrisoma fasciatum'' ([[w:Fasciated Tiger Heron|Fasciated Tiger Heron]])
* ''Tigrisoma lineatum'' ([[w:Rufescent Tiger Heron|Rufescent Tiger Heron]])
* ''Tigrisoma lineatum'' ([[w:Rufescent Tiger Heron|Rufescent Tiger Heron]])
* ''Tigrisoma mexicanum'' ([[w:Bare-throated Tiger Heron|Bare-throated Tiger Heron]])
* ''Tigrisoma mexicanum'' ([[w:Bare-throated Tiger Heron|Bare-throated Tiger Heron]])
* ''Zebrilus undulatus'' ([[w:Zigzag Heron|Zigzag Heron]])
* ''Zonerodius heliosylus'' ([[w:Forest Bittern|Forest Bittern]])
* ''Zonerodius heliosylus'' ([[w:Forest Bittern|Forest Bittern]])

Pitio la 15:30, 21 Januari 2018

Vumatiti
Vumatiti mdogo
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Pelecaniformes (Ndege kama makorongo)
Familia: Ardeidae (Ndege walio na mnasaba na koikoi)
Leach, 1820
Ngazi za chini

Nusufamilia 2, jenasi 5:

Vumatiti ni ndege wakubwa wa nusufamilia Botaurinae na Tigrisomatinae katika familia ya Ardeidae ambao wana domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula samaki, amfibia na wadudu wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga tago lao kwa matawi, manyasi na mimea ingine katikati ya matete au juu ya miti. Tago limefichika kwa kawaida.

Spishi za Afrika

Nusufamilia Botaurinae

Nusufamilia Tigrisomatinae

Spishi za mabara mengine

Nusufamilia Botaurinae

Nususfamilia Tigrisomatinae

Picha