Bernardo wa Menthon : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Bernardo wa Menthon, C.R.S.A.''', (au '''Bernardo wa Montjoux''') alikuwa padri mwanzilishi wa shirika la kitaw...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:TBW Villgraten Fahne.JPG|thumb|right|300px|Mt. Bernardo katika [[bendera]] ya kikundi fulani.]]
'''Bernardo wa Menthon, [[Wakanoni Watawa wa Mt. Augustino|C.R.S.A.]]''', (au '''Bernardo wa Montjoux''') alikuwa [[padri]] [[mwanzilishi]] wa shirika la kitawa.
'''Bernardo wa Menthon, [[Wakanoni Watawa wa Mt. Augustino|C.R.S.A.]]''', (au '''Bernardo wa Montjoux''') alikuwa [[padri]] [[mwanzilishi]] wa shirika la kitawa ambalo lipo hadi leo likiwa na wanachama 35 wenye [[nadhiri]].


Tangu kale aliheshimiwa kama [[mtakatifu]]; hatimaye [[mwaka]] [[1681]] [[Papa Inosenti XI]] alithibitisha sifa hiyo.
Tangu kale aliheshimiwa kama [[mtakatifu]]; hatimaye [[mwaka]] [[1681]] [[Papa Inosenti XI]] alithibitisha sifa hiyo.

Pitio la 12:46, 2 Desemba 2017

Mt. Bernardo katika bendera ya kikundi fulani.

Bernardo wa Menthon, C.R.S.A., (au Bernardo wa Montjoux) alikuwa padri mwanzilishi wa shirika la kitawa ambalo lipo hadi leo likiwa na wanachama 35 wenye nadhiri.

Tangu kale aliheshimiwa kama mtakatifu; hatimaye mwaka 1681 Papa Inosenti XI alithibitisha sifa hiyo.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.