Komamanga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'link=Picha:Pomegranate02%20edit.jpg|thumb|mfano wa komamanga likiwa limeiva '''komamanga''' ni tunda lenye mbegu nyek...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Pomegranate02 edit.jpg|link=Picha:Pomegranate02%20edit.jpg|thumb|mfano wa komamanga likiwa limeiva]]
[[Picha:Pomegranate02 edit.jpg|link=Picha:Pomegranate02%20edit.jpg|thumb|Komamanga likiwa limeiva.]]
'''komamanga''' ni [[tunda]] lenye [[mbegu]] [[nyekundu]] ndani na ndogondogo,na [[jekundu]] kwa nje.[[Tunda]] hili huliwa na [[binadamu]] na hata [[ndege]].
'''Komamanga''' ni [[tunda]] [[jekundu]] kwa nje na lenye [[mbegu]] ndogondogo [[nyekundu]] ndani.


[[Tunda]] hili [[asili]] yake ni [[Mashariki ya kati]].
'''FAIDA ZA KOMAMANGA'''.


[[Tunda]] hili huliwa na [[binadamu]] na hata [[ndege]]. Wengine hulidharau, lakini lina faida nyingi sana katika [[miili]] wetu.
1.Lina uwezo mkubwa wa kuzuia [[ugonjwa]] wa [[kansa]].
==Faida za komamanga==

1. Lina uwezo mkubwa wa kuzuia [[ugonjwa]] wa [[kansa]].


2. Linasaidia kukinga [[magonjwa ya moyo]].
2. Linasaidia kukinga [[magonjwa ya moyo]].
Mstari 20: Mstari 24:
8. Hutibu [[ugonjwa]] wa kupungua kwa [[damu]] mwilini.
8. Hutibu [[ugonjwa]] wa kupungua kwa [[damu]] mwilini.


{{mbegu-biolojia}}
[[Tunda]] hili [[watu]] hulidhalau lakini linafaida nyingi sana katika [[miili]] wetu.[[Tunda]] hili [[asili]] yake ni [[mashariki ya kati]]

[[Jamii:Matunda]]

Pitio la 12:00, 19 Septemba 2017

Komamanga likiwa limeiva.

Komamanga ni tunda jekundu kwa nje na lenye mbegu ndogondogo nyekundu ndani.

Tunda hili asili yake ni Mashariki ya kati.

Tunda hili huliwa na binadamu na hata ndege. Wengine hulidharau, lakini lina faida nyingi sana katika miili wetu.

Faida za komamanga

1. Lina uwezo mkubwa wa kuzuia ugonjwa wa kansa.

2. Linasaidia kukinga magonjwa ya moyo.

3. Huipa afya mishipa ya moyo.

4. Husaidia kurekebisha presha ikae sawa.

5. Husaidia kupunguza uzito na kukuweka sawa.

6. Huongeza hamu ya kula.

7. Husaidia usagaji wa chakula mwilini.

8. Hutibu ugonjwa wa kupungua kwa damu mwilini.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Komamanga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.