Blasi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|''Mt. Blaise akimkabili [[gavana wa Kirumi'', Soissons (Picardy, France), mwanzoni mwa karne...'
 
No edit summary
Mstari 5: Mstari 5:


[[Sikukuu]] yake huadhimishwa na [[Ukristo wa magharibi]] tarehe [[3 Februari]], kumbe [[Ukristo wa Mashariki|mashariki]] tarehe [[11 Februari]].<ref name=kirsch>[http://www.newadvent.org/cathen/02592a.htm Kirsch, Johann Peter. "St. Blaise." The Catholic Encyclopedia. Vol. 2. New York: Robert Appleton Company, 1907. 3 Feb. 2013]</ref>
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa na [[Ukristo wa magharibi]] tarehe [[3 Februari]], kumbe [[Ukristo wa Mashariki|mashariki]] tarehe [[11 Februari]].<ref name=kirsch>[http://www.newadvent.org/cathen/02592a.htm Kirsch, Johann Peter. "St. Blaise." The Catholic Encyclopedia. Vol. 2. New York: Robert Appleton Company, 1907. 3 Feb. 2013]</ref>

==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]


== Tanbihi ==
== Tanbihi ==
Mstari 19: Mstari 24:
{{mbegu-Mkristo}}
{{mbegu-Mkristo}}


[[Category:Waliozaliwa karne ya 2]]
[[Category:Waliozaliwa karne ya 3]]
[[Category:Waliofariki 316]]
[[Category:Waliofariki 316]]
[[Category:Wafiadini Wakristo]]
[[Category:Wafiadini Wakristo]]
[[Category:Watakatifu wa Armenia]]
[[Category:Watakatifu wa Armenia]]
[[Jamii:Watakatifu wa Uturuki]]

Pitio la 11:35, 1 Julai 2017

Mt. Blaise akimkabili gavana wa Kirumi, Soissons (Picardy, France), mwanzoni mwa karne ya 13.

Blasi (kwa Kiarmenia: Վլասի, Vlasi; kwa Kigiriki Βλάσιος, Vlasios) alikuwa mganga na askofu wa Sebastea katika Armenia Ndogo (leo Sivas, Uturuki).

Aliuawa kwa ajili ya imani yake ya Kikristo mwaka 316. Ndiyo sababu anaheshimiwa na madhehebu mengi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa na Ukristo wa magharibi tarehe 3 Februari, kumbe mashariki tarehe 11 Februari.[1]

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.