Louise Armstrong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Louise Armstrong (Machi 17, 1937Agosti 10, 2008) alikuwa mwandishi aliyechapisha vitabu vingi vya watu wazima na watoto.

Akiwa mtetezi wa haki za wanawake na mwanaharakati, Armstrong alikuwa alizungumza kwa mapana kwa miongo miwili huko Marekani, Kanada, na Uingereza, kuhusu unyanyasaji wa watoto, mapenzi, jeuri ya familia, na unyanyasaji wa kingono. Kitabu chake cha Kiss Daddy Goodnight, kilichochapishwa na Pocket Books mwaka wa 1978, ni kazi ya msingi ilyoeleza juu ya kujamiiana.

Armstrong alikuwa kitivo cha taasisi ya Fasihi ya watoto na aliongoza kamati ya unyanyasaji wa familia kwa ajili ya mtandao wa Kitaifa wa Afya ya Wanawake mwaka (19791984). Armstrong pia aliandika magazeti, ikiwa ni pamoja na Siku ya Mwanamke na Connecticut Magazine.

Mtoto wake wa kike ni Noah Hawley aliyeshinda tuzo ya Emmy Award kama mtayarishaji bora wa filamu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louise Armstrong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.