Lorenzo Insigne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Insigne akiwa na mpira.

Lorenzo Insigne (matamshi ya Kiitalia: [loˈrɛntso inˈsiɲɲe]; alizaliwa 4 Juni 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Italia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Napoli na timu ya taifa ya Italia.

Insigne alianza kazi yake na Napoli mnamo 2009, na kuanza kucheza Serie A mnamo 2010, lakini baadaye aliuzwa kwa mkopo kwenda Cavese,na 2012 alirudi Napoli. Insigne inauwezo wa kucheza kama winga wa kushoto. Anajulikana kutokana na ubunifu, usahihi, kasi na uwezo wake wa kiufundi.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lorenzo Insigne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.