Nenda kwa yaliyomo

Leudini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leudini (kwa Kifaransa: Leudin au Bodon; pia: Leudinus, Leudovinus, Leudvinus, Leudvin, Leudin, Lendin, Bodo; 625 hivi - 11 Septemba 678 hivi[1]) alikuwa askofu wa 17[2] wa Toul, leo nchini Ufaransa[3].

Kwanza alioa na kupata mtoto wa kike, lakini baadaye alikubaliana na mke wake Otilia waende kuishi kimonaki kama dada yake Salaberga[4]. Mwisho akawa askofu kwa miaka si mingi, kama miwili.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Septemba[5][6].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Saint Bodon". saint-deodat.cef.fr (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-16. Iliwekwa mnamo 2024-05-18. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  2. http://www.gourment.chez-alice.fr/evequesdetoul.htm
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/69865
  4. http://www.newadvent.org/cathen/10680a.htm Catholic Encyclopedia: Nancy
  5. Martyrologium Romanum
  6. http://www.amisaintcolomban.org/wordpress/wp-content/uploads/30_Bodo_Leudin2.pdf
  • (Kiingereza) Paul Burns (2000), Butler's Lives of the Saints, p. 101.
  • (Kifaransa) Boudet Paul, Le chapitre de Saint Dié en Lorraine, des origines au seizième siècle, Archives des Vosges, édition Société d'émulation des Vosges, 280 pages.
  • (Kifaransa) Chanoine L. Leveque, Petite histoire religieuse de nos Vosges, Imprimerie Géhin, Mirecourt, 1947, 200 pages.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.