Leslie Sykes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
leslie Sykes ndani ya chaneli ya KABC(1910)_(14597499279)

Leslie Ann Sykes (alizaliwa Juni 27, 1965) ni mwandishi na ripota wa habari Mmarekani. Sykes ni mtoa habari za asubuhi na mchana kwenye kipindi cha "Eyewitness News" ndani ya chaneli ya KABC-TV, ya kampuni ya utangazaji nchini Marekani, inayomilikiwa na kuendeshwa huko Los Angeles, California.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Sykes ameolewa na Patrick W. Spann. Wamepata mtoto wa kiume na kwa sasa wanaishi huko View Park-Windsor Hills karibia na Los Angeles.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leslie Sykes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.