San Diego, California
Jump to navigation
Jump to search
Jiji la San Diego | |||
|
|||
Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Marekani" does not exist.Mahali pa mji wa San Diego katika Marekani |
|||
Majiranukta: Page Module:Coordinates/styles.css has no content.32°42′54″N 117°09′45″W / 32.71500°N 117.16250°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | California | ||
Wilaya | San Diego | ||
Idadi ya wakazi | |||
- | 1,353,993 | ||
Tovuti: www.sandiego.gov |

Mahali pa San Diego katika San Diego County na California
San Diego (yaani Mtakatifu Diego) ni mji mkubwa wa pili katika jimbo la California baada ya Los Angeles, na wa saba katika nchi nzima ya Marekani. Uko upande wa kusini-magharibi ya nchi.
San Diego una wakazi milioni 1,3 katika eneo la 963.6 km².
Jina la San Diego latoka katika lugha ya Kihispania, kwa kuwa ulijengwa kandokando ya konventi ya Wafransisko iliyokuwa na jina hilo kwaheshima ya Diego wa Alkala.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- (Kiingereza) Tovuti ya mji wa San Diego
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu San Diego, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |