Nenda kwa yaliyomo

Lango:Hisabati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Milango ya Wikipedia: Sanaa · Utamaduni · Jiografia · Afya · Historia · Hisabati · Sayansi · Falsafa · Dini · Jamii · Teknolojia

Lango la Hisabati

Hisabati (kwa Kigiriki: μαθηματικά, mathēmatiká), ni somo linalohusika na idadi, upimaji na ukubwa. Kwa ujumla ni somo linalohusika na miundo na vielezo.

Hisabati inajumlisha masomo mbalimbali, kama hesabu, jiometria na aljebra.

Aina za Hisabati

Makala iliyochaguliwa

Kichujio cha Erastothenes

Namba tasa ni namba asilia isiyogawiwa kwa namba nyingine isipokuwa kwa 1 na kwa namba yenyewe.

Kunamatumizi ya namba tasa katika maisha ya kila siku kwenye namba za siri za akdi za benki au kadi za simu pia kwenye simu za mkononi. Nuymba ya namba ya siri mara nyingi ni zidisho la namba tasa mbili kubwa. Ni rahisi ykuzidisha namba tasa mbili lakini ni kazi kubwa mno kugundua zao ilikuwa tokeo la namba zipi.

Je, wajua...?

Vitu unavyoweza kufanya

Masharika ya Wikimedia