Nenda kwa yaliyomo

Uhakiki wa Ptolemaio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uhakiki wa Ptolemaio ni sentensi ya jiometria juu ya uhusiano kati ya pande nne za pembenne na ulalo zake kama kona za pembenne hulala juu ya duara.

Imepewa jina kufuatana na mwanahisabati Mgiriki-Mmisri Klaudio Ptolemaio.

Kurasa zinazohusiana[hariri | hariri chanzo]