Aljebra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Aljebra ni tawi la hisabati linalotumia ishara kutatua matatizo ya hisabati, kwa mfano kupiga hesabu hata kama namba fulani ndani yake haijulikani.

  • Mfano mmoja ni mlinganyo ufuatao ambapo x \,\! ni kutofautiana:
\quad \frac{7x + 9}{4x + 2} = 2 \,


7x + 9 = 8x + 4\,


9 - 4 = 8x - 7x\,


x = 5\,
Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aljebra kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.