La Luna Sangre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

La Luna Sangre (jina la Kihispania lenye maana ya Mwezi damu) ni filamu ya kutisha ya Ufilipino ya mwaka 2017.

Ilianza kuonyeshwa kwenye chaneli ya Kifilipino tarehe 6 Juni 2017 na inahusu utabiri wa mwezi damu ambapo ulitabiriwa kwamba mwanga mwenye nguvu na mbwamwitu mwenye nguvu watakuja kuumaliza ugomvi wa wawanga na mbwamwitu.

Emoji u1f4fd.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu La Luna Sangre kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.