Nenda kwa yaliyomo

Kunialdi na Gisilari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kunialdi na Gisilari (pia: Chuniald, Conald, Cunibald, Chunibald, Kuniald na Gisilar, Gisilher; waliishi karne ya 7) walikuwa mapadri waliofanya umisionari Ulaya bara wakishirikiana na Rupert wa Salzburg [1].

Tangu kale wanaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama watakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 28 Septemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Butler, Alban (1823), The Lives of the Irish Saints, Extracted from the Writings of the Rev. Alban Butler, and Now Placed in Order, with a Prefixed Callender; to which is Added, an Office and Litany in Their Honour, with a Defence of the Monastic Institute. By a Cistercian Monk, J. Coyne, iliwekwa mnamo 2021-07-11
  • O'Hanlon, John (1873), Lives of the Irish saints, juz. 9
  • "September", Orthodox Europe, iliwekwa mnamo 2021-04-11
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.