Nenda kwa yaliyomo

Konstas II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Konstas II (kwa Kigiriki: Κώνστας, Kōnstas; aliyeitwa "Mwenye ndevu"; Konstantinopoli, 7 Novemba 630Siracusa, Italia, 15 Julai 668) alikuwa kaisari wa Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka 641 hadi 668.

Alidhulumu sana Wakristo waliotetea imani sahihi kuhusu utashi wa kiutu wa Yesu, hasa Maksimo Muungamadini.

Hatimaye aliuawa bafuni.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Bizanti bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Konstas II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.