Konsonanti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:00, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q38035 (translate me))

Konsonanti ni sauti za lugha ambazo katika Kiswahili zatajwa kwa herufi B, Ch, D, F, G, H, J, K, L, M, N, P, Q, R, S, T, V, W, Y na Z

Kwa sauti hizo hewa haiondoki mdomoni moja kwa moja lakini mwendo wake ni pamoja na sauti za pembeni kwa kutumia shingo, ulimi au meno.

Hii ni tofauti na sauti za vokali kama A, E, I, O na U. Hizi ni sauti tupu ambako hewa huondoka mdomoni bila kikwazo au sauti za pembeni.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Konsonanti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.