N

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

N ni herufi ya 14 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni Nun ya alfabeti ya Kigiriki.

Maana za N[hariri | hariri chanzo]

  • Katika Kemia N ni alama ya elementi ya Nitrojeni
  • Kwa magari N ni alama ya gari kutoka Norwei.
  • katika fizikia "n" ni alama ya nyutroni
  • kwa vipimo "N" ni kifupi cha nyutoni (newton) ambacho ni kizio cha kupima kazi.

Historia ya N[hariri | hariri chanzo]

Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu N kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.