Nyutroni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Nyutroni (pia: neutroni, kutoka kilat. "neuter" - "asiye mmoja kati ya wawili") ni chembe ndani ya atomi. Ni sehemu ya kiini cha atomi isiyo na chaji yoyote.

Masi ya nyutroni ni ndogo sana. Huaminiwa ya kwamba kila nyutroni inajengwa na quark tatu.

Science.jpg Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyutroni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.