Kisasisho
Katika utarakilishi, kisasisho (kutoka kitenzi cha Kibantu kusasisha ambazo mzizi wake ni kielezi sasa; kwa Kiingereza: update au patch) ni fungu la mabadiliko kwa programu moja linalotumika kurekebisha kasoro.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)