Kibonyezo cha huduma
Kibonyezo cha huduma au kibonyezo huduma (kwa Kiingereza: function key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili ifanye amri maalum za mfumo wa uendeshaji.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107