Dirisha la amri

Dirisha la amri kwenye Linux.
Katika utarakilishi, dirisha la amri (kwa Kiingereza : "command-line window") linatekelezea amri kwa programu ya tarakilishi. Mifumo ya uendeshaji yote ina dirisha la amri.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.