Kenya Commercial Bank

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nembo

Kenya Commercial Bank (KCB) ni kati ya benki kubwa za Kenya. Makao makuu yapo Nairobi.

KCB ina matawi kote nchini. Serikali inashika 26% za hisa. Katika miaka iliyopita KCB ilipoteza pesa nyingi kwa kutoa mikopo kwa watu waliokosa nia au uwezo wa kurudisha pesa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kenya Commercial Bank kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.