Kelvin Pius John

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kelvin Pius John (wengine humuita Mbappe; alizaliwa mkoa wa Morogoro 10 June 2003) ni mchezaji wa soka wa Timu ya taifa ya Tanzania. Ndiye mchezaji mwenye umri mdogo zaidi ambaye anacheza katika timu hiyo.

Kwa sasa amejiunga na KRC Genk ya Ubelgiji.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kelvin Pius John kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.