Nenda kwa yaliyomo

Keith Gardner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Keith Alvin Saint Hope Gardner (6 Septemba 1929 - 25 Mei 2012) alikuwa mwanariadha wa Jamaika ambaye alishindana katika mbio za mita 110 kuruka viunzi, mita 100, 200 na mita 400.

Alishindania British West Indies katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1960 iliyofanyika Roma, Italia katika mbio za kupokezana za mita 4 x 400 ambapo alishinda medali ya shaba akiwa na wachezaji wenzake Malcolm Spence, James Wedderburn, na George Kerr.[1]

  1. "Keith Gardner".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Keith Gardner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.