Karitoni, Karito na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha takatifu ya Kirusi ya Mt. Yustino, mwalimu wao.

Karitoni, Karito na wenzao Evelpisto, Gerasi, Peoni na Liberiani (walifariki Roma, Italia, kati ya 162 na 168) walikuwa wanafunzi wa Yustino ambao waliuawa pamoja naye katika dhuluma ya Dola la Roma[1][2].

Hati za mateso yao zimetunzwa hadi leo[3].

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 1 Juni[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karitoni, Karito na wenzao kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.