Nenda kwa yaliyomo

Joshua Kimmich

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kimmich akiwa mazoezini.

Joshua Walter Kimmich (alizaliwa tarehe 8 Februari 1995) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama beki wa kulia katika klabu ya Bayern Munich FC na timu ya taifa ya Ujerumani.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Kimmich alianza kucheza mpira wa miguu katika klabu ya vijana ya VfB Stuttgart kabla ya kujiunga na RB Leipzig mwezi Julai 2013.

Mnamo 2 Januari 2015, Kimmich alikubali kujiunga na Bayern Munich katika mkataba wa miaka mitano ambao unafanyika hadi 30 Juni 2020, kwa ada ya milioni 7.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joshua Kimmich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.