Johannes Erm

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Johannes Erm

Johannes Erm (alizaliwa Tartu, Machi 26, 1998) ni mwanariadha wa mizunguko kumi kutoka nchini Estonia[1]

Ni bingwa wa mwaka 2019 wa NCCA kwenye mbio za mizunguko kumi.[1]

Akiwa kijana[hariri | hariri chanzo]

Johannes Erm alisoma shule ya sekondari ya sayansi Tallinn. Katika ujana wake alicheza mpira wa miguu katika klabu ya mpira wa miguu ya Flora ya estonia chini ya usimamizi wa Priit Adamson. Mwaka 2011 alihamia riadha na kuanza mafunzo na mkufunzi wake wakati huo Holger Peel. Mwaka 2017 alimaliza shule ya sekondari na kwenda kusoma uhandisi wa mitambo katika chuo  kikuu Georgia. Kuanzia hapo mkufunzi wake alikuwa Petros Kyprianou mpaka sasa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johannes Erm kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.