Nenda kwa yaliyomo

Jimbo la Bremen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moja ya mji ndani ya jimbo la Bremen

Jimbo la Bremen ni moja ya majimbo 17 ya kujitawala ya Shirikisho la Ujerumani. Jina rasmi ni "Mji huru wa Hanse wa Bremen" (Freie Hansestadt Bremen). Hanse ilikuwa shirikisho la kimataifa la miji ya biashara iliyojitawala katika karne za kati. Kwa muda mrefu wa historia yake Bremen ilikuwa dola-mji, kama nchi ndogo ya kujitegemea, hadi kujiunga na Dola la Ujerumani 1871. Jimbo lina miji miwili tu: Bremen yenyewe na Bremerhaven.

Picha za Bremen

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


 
Majimbo ya Ujerumani
Baden-WürttembergBavaria (Bayern)BerlinBrandenburgBremenHamburgHesse (Hessen)Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern)Saksonia Chini (Niedersachsen)Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen)Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz)Saar (Saarland)Saksonia (Sachsen)Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt)Schleswig-HolsteinThuringia (Thüringen)
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Bremen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.