Jean-Baptiste Bagaza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Jean-Baptiste Bagaza (29 Agosti 1946 - 4 Mei 2016) alikuwa mwanasiasa na askari (Kanali) wa Burundi aliyetawala nchi kama rais na kihalisia kama dikteta kwa miaka kumi kati ya Novemba 1976 na Septemba 1987.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean-Baptiste Bagaza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.