Nenda kwa yaliyomo

Artsakh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jamhuri ya Artsakh)
Nagorno-Karabakh 2020.

Artsakh ilikuwa nchi isiyotambuliwa na mataifa mengine [1] kama nchi huru kwenye milima ya Kaukazi kusini.

Mwaka 2020 vita vilizuka tena na kumalizika kwa Azerbaijan kutwaa sehemu kubwa ya eneo hilo la kwake kisheria. Kabla ya vita hivyo, eneo lake lilikuwa la km² 11,458, lililokaliwa na wakazi 150,000 hivi, wengi wao wakiwa Waarmenia.

Mwaka 2023 Azerbaijian imeteka nchi nzima, wakazi karibu wote wamehamia haraka Armenia na aliyekuwa rais ametangaza rasmi miundo yote ya jamhuri itakoma tarehe 1 Januari 2024.

Mji mkuu uikuwa Stepanakert.

  1. isipokuwa matatu ambayo pia hayatambuliki kimataifa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Artsakh kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.