Artsakh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uenezi wa utawala wa Waarmenia katika vita vya Nagorno-Karabakh, 1989-1994.

Artsakh ni nchi isiyotambuliwa na mataifa mengine [1] kama nchi huru kwenye milima ya Kaukazi kusini.

Eneo lake ni km² 11,458 linalokaliwa na wakazi 150,000 hivi, wengi wao wakiwa Waarmenia.

Mji mkuu ni Stepanakert.

Mwaka 2020 vita vilizuka tena kwa jaribio la Azerbaijan kutwaa eneo hilo la kwake kisheria.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. isipokuwa matatu ambayo pia hayatambuliki kimataifa.