Kilopwe
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jacquemontia tamnifolia)
| Kilopwe (Jacquemontia tamnifolia) | ||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Kilopwe au kikopwe (Jacquemontia tamnifolia) ni mmea katika familia Convolvulaceae unaofanana na kiazi pori na kwa hivyo unatambaa juu ya vichaka na miti. Maua yake ni buluu.
Picha
[hariri | hariri chanzo]- Mmea unaofanana na kilopwe (Jacquemontia pentantha)
- Ua la Jacquemontia pentantha